Msaada : Tv Au Projector?

Msaada : Tv Au Projector?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,183
Wadau Amani Ya Bwana Iwe Nanyi!
Nahitaji Kufanya Biashara Ya Kuonyesha Mpira, Naomba Msaada Kati Ya Projector Na Tv,
Nahitaji Kuanzia Na Screen Mbili, Au Screen Moja Na Projector Moja, Naomba Sana, Wale Wajuzi Na Hata Wanaofanya Hii Biashara Mnipe Ushauri! Kuhusu Location Na Ukumbi Vyote Vipo Vizuri... .
Nimetanguliza Shukrani.
 
ndugu [HASHTAG]#sizonje[/HASHTAG] vip kuhusu muda wa matumiz wa projector? nilisikia sijui projector ina masaa
 
Mazingira ya ukumbi yako vp? Kama ukumbi unaingiza sana mwanga wa jua mida ya mchana projector huwa zinakoma muonekano mzuri. Weka tu tv ya maana kwaushaur wangu
 
ndugu [HASHTAG]#sizonje[/HASHTAG] vip kuhusu muda wa matumiz wa projector? nilisikia sijui projector ina masaa
Nikutakia kila la heri mkuu kwenye utafutaji wako,sina utaalamu na hivyo vitu ila napenda wachakarikaji na wanaojituma na wasiokata tamaa.
 
Mazingira ya ukumbi yako vp? Kama ukumbi unaingiza sana mwanga wa jua mida ya mchana projector huwa zinakoma muonekano mzuri. Weka tu tv ya maana kwaushaur wangu

sawa mkuu, nashukuru je tv kuanzia nchi ngap inaweza kufaa kwa banda la futi kama 50 hivi urefu
 
Anza na tv 2, halaf kanunue kaprijector kamoja search kanaitwa kinomate km sikosei ngoja nitaangalia jina nilikamiliki miaka ya nyuma kapo kama power bank ila ni projector aisee ni hatari
 
TV SIZE GANI KWANZA... Pia zingatia ukubwa wa ukumbi.. kama ukumbi ni mkubwa sana anza ni TV1 NA PROJECTOR
 
nashukuru sana wadau kwa maoni yenu, naamini uzi huu hautanisaidia mimi tu,
 
Anza na tv 2, halaf kanunue kaprijector kamoja search kanaitwa kinomate km sikosei ngoja nitaangalia jina nilikamiliki miaka ya nyuma kapo kama power bank ila ni projector aisee ni hatari
Kinaonyesha clear? make ishu hapa ni aina nzuri ya projector.
 
Mkuu [HASHTAG]#zola7[/HASHTAG] Ungetoa Na Sababu Basi!
 
Kama unaweza kuzuia mwanga ndani ya ukumbi wako pasipo kuzuia hewa safi ndani ya ukumbi,nunua projector yenye ubora....
 
Back
Top Bottom