geofreyngaga
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 667
- 974
Habari wana bodi
Naomba uzoefu wenu kwa mtu yeyote aliewai tumia hii mashine winchi hasa kwenye kazi za kubebea zege.
Aina gani nzuri, tani ngapi nzuri kwa ujenzi wetu wa wastani, matumizi yake kama kweli inafaa mtu wa ujenzi kua nayo au kama kuna lolote la ziada please share tufaidike sote.
Nawashukuru wote mtakao changia