Msaada Tutani

Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
694
1,000
Kwanza poleni na majukumu ya wiki nzima Sasa umefka ule muda wa kutuliza mwili hii ni kwa wale waajiriwa sisi tulioajiri nafsi hatuna mapumzko

Nimekuja hapa naombi moja Wana jamii
Kuna mwanamke mmoja Niko nae kwenye mahusiano yapata mwaka Sasa

Lakini kilichonileta hapa ni kwamba miezi ipatayo Saba baada ya kuwa kwenye mahusiano imetokea shida Sana kwangu ambayo ndo imenileta hapa nayo ni hii

Huyu mwanamke kila nikifanya nae mapenzi ambapo kwa week tunaweza fanya hata mara 5 shida inakuja after sex huwa napata uvimbe Sana ambao unaniletea jipu yani tuseme n jipu kabisa

Na toka niwe nae huwa naota ndoto za ajabu Sana usiku lakni mwanzon penzi halikuwa na shida tatizo lilianza baada ya yeye kwenda likizo kwao na alipoludi ndo shida zikaanza nipata Kama hvo

Nimebaki njia panda kiukwel naombeni msaada kwa wajuzi maana dunia Ina mengi na kwenye mengi Kuna wengi

Maana nilichokuja kuona kumuacha sio tatizo inatakiwa Kama ni tatizo analo bas kama Kuna uwezekano na yeye apate tiba ili tuwe sawa wote

Nawasilisha
 
mbenda said

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
460
1,000
Cku nyingine ukiwa njia panda unavunja Nazi,

Pole kwa mahasibu yaliokukuta, ucpende sana kuingiza imani za kishirikina kwa jambo lolote.

Nafikili ww ni mtu mzima kabla ya huyo MWANAMKE ulikuwa na nani na mlimalizinaje mpka ww ukawa huru na kumpata huyo mwanamke, lkn nae pia alimazianaje na mtu wake WA mwisho kabla yako.

Je umejalibu kumueleza kwa unayoyaota?

Je una jambo gani liliokupelekea kuhusisha ndoto + majibu na mahusiano?

Kaa tafakali huwenda ni ndoto za kupita tu lkn jalibu kuzungumza nae ukiwa kucheki afya nk,

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke nikiekuwa nae tuliachana kwa amani kabisa na Kuna muda tukipata muda huwa tunasalimiana hilo halina shida tatizo sijajua kwake lakn hayo hayafanyi mm kuhisi shida inaanzia kwake
 
My Sons Legacy

JF-Expert Member
Feb 4, 2019
2,651
2,000
Aisee ulijaribu kumgusia hayo ? Kama bado jaribu kumgusia japo kinafki uone reaction yake itakupa picha.
Maana hatujui safari imebeba nini, pengine kaja na maradhi
Mambo ya kukimbilia kwa Wagaga sio mpango
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,562
2,000
Kila mtu huota ndoto na ndoto ni njia ya Mungu kusema na watu wake. Yaweza kukuonya au kukutahadharisha. Sasa ukisema ati tangu mwanamke atoke/arudikutoka kwao ndipo umeanza kuota manjozi mabaya na pia unaota mauvimbe huoni kuwa unajitishia maisha mwenyewe?
Kabla ya kukimbilia humu JF ungeenda hospital mwenyewe ukapime hali ya afya yako. Zamani tulikuwa na magonjwa mengi tu ya VD ka vile;
Kisonono, pangusa, kaswende na mambo yanayo fanana na hayo. Siku hizi hamuyaogopi tena hayo magonjwa mnaogopa Ukimwi tu. Mwadhani hayo mengine yalikufa yenyewe yakamwachia Ukimwi uanja?
Nenda kapimwe hospitali kamili zenye vipimo wakuone unaumwa na nini. Baada ya hapo, nenda Kanisa lolote la kiroho uokoke umpokee Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wako akuponye sio hayo magonjwa tu bali zaidi sana nafsi yako.
Huo ndo ushauri wangu ukitaka upokee au uuache ukadanganywe huko umalize pesa kwa kitu cha bure.
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
20,879
2,000
usikubali,

chukua Nazi

anzia kwenye macho ya Nazi kuandika yafuatayo

Ewe mleta maradhi,fedheha na matatizo nakurudomisha ulipotoka

jifunge shuka jeupe kavunje hiyo nazi Barabara ya lami saa 8:12 usiku.

kila La kheri
 
Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
694
1,000
Aisee ulijaribu kumgusia hayo ? Kama bado jaribu kumgusia japo kinafki uone reaction yake itakupa picha.
Maana hatujui safari imebeba nini, pengine kaja na maradhi
Mambo ya kukimbilia kwa Wagaga sio mpango
Ahsante ndugu na ndo maana nimekuja Kwanza hapa kupata ushaur
 
Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
694
1,000
Kila mtu huota ndoto na ndoto ni njia ya Mungu kusema na watu wake. Yaweza kukuonya au kukutahadharisha. Sasa ukisema ati tangu mwanamke atoke/arudikutoka kwao ndipo umeanza kuota manjozi mabaya na pia unaota mauvimbe huoni kuwa unajitishia maisha mwenyewe?
Kabla ya kukimbilia humu JF ungeenda hospital mwenyewe ukapime hali ya afya yako. Zamani tulikuwa na magonjwa mengi tu ya VD ka vile;
Kisonono, pangusa, kaswende na mambo yanayo fanana na hayo. Siku hizi hamuyaogopi tena hayo magonjwa mnaogopa Ukimwi tu. Mwadhani hayo mengine yalikufa yenyewe yakamwachia Ukimwi uanja?
Nenda kapimwe hospitali kamili zenye vipimo wakuone unaumwa na nini. Baada ya hapo, nenda Kanisa lolote la kiroho uokoke umpokee Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wako akuponye sio hayo magonjwa tu bali zaidi sana nafsi yako.
Huo ndo ushauri wangu ukitaka upokee au uuache ukadanganywe huko umalize pesa kwa kitu cha bure.
Ndugu hayo unayoyasema hapa ni ya kawaida nishafanya research kwa mwanamke mwngne hali inakuaje baada ya kufanya nae mapenzi hapo hakukuwa na shida nikawa sawa tu lkn nikifanya na yey ndo shida huanzia hapo hapa natafta solution sio waganga
 
Sic March

JF-Expert Member
Mar 2, 2019
694
1,000
usikubali,

chukua Nazi

anzia kwenye macho ya Nazi kuandika yafuatayo

Ewe mleta maradhi,fedheha na matatizo nakurudomisha ulipotoka

jifunge shuka jeupe kavunje hiyo nazi Barabara ya lami saa 8:12 usiku.

kila La kheri
Huo muda usiku huwa Nina usingz hatar
 
Mbeba Lawama

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
203
500
mtakua na ma UTI sugu na hivyo vijipu utokea pale mnapofanya yenu na lile jasho pamoja na fluid zote za uko chin kwenu kugusana ndio mana unajkuta kwenye kibofu na mater coon unapata vile vjpu vdogo na n vi chungu sana nenden hsptal mpate tiba sahii na acha usharo wa kunyoa vuzi na kua kipara na kuingia kwenye sex apo ua n hatar sana
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,562
2,000
Ndugu hayo unayoyasema hapa ni ya kawaida nishafanya research kwa mwanamke mwngne hali inakuaje baada ya kufanya nae mapenzi hapo hakukuwa na shida nikawa sawa tu lkn nikifanya na yey ndo shida huanzia hapo hapa natafta solution sio waganga
Bro, nenda kapime hospitalini pima vipimo vya uhakikandipo ufanye maamuzi. Mambo ya kufanya research juu ya mtu nadhani ishapitwa na wakati. Kama vipi kwa kuwa hujasema una hata katoto naye, achana naye waachie wabeba zege waende naye
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
7,272
2,000
mtakua na ma UTI sugu na hivyo vijipu utokea pale mnapofanya yenu na lile jasho pamoja na fluid zote za uko chin kwenu kugusana ndio mana unajkuta kwenye kibofu na mater coon unapata vile vjpu vdogo na n vi chungu sana nenden hsptal mpate tiba sahii na acha usharo wa kunyoa vuzi na kua kipara na kuingia kwenye sex apo ua n hatar sana
Mkuu mbona unatafuna maneno? Hiyo ni gonorrhea sugu anatakiwa aende na huyo mtu wake wakapimwe. Hivyo anavyosema vijipu ni mitoki ambazo ni moja ya dalili za gonorrhea!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom