Msaada tutani wakuu

Mwanabalagha

Senior Member
Nov 11, 2015
196
235
Habari za muda huu wakuu.....

Ipo hivi kuna dogo kamaliza form 4 last year alipata div 4 ya 26....

Sasa kaomba kozi vyuo vya serikali kachaguliwa asomee udaktari wa wanyama....

Bahati mbaya mi hiyo sector siifahamu vizuri so naomba mnijuze kama hiyo kozi inalipa? Demand yake kwenye soko la ajira ipoje?

Mama yake kamshauri ni bora asomee pharmacy kuliko hiyo animal health.....

Naombeni mawazo yenu wakuu...natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom