Thinker96
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 349
- 138
Na Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, mie naomba msaada wa kuambiwa hata jina la software na upatikanaji wake. Hiyo software iwe na uwezo wa kufanya yafuatayo kutoa taarifa za mauzo ya siku (yaingizwe kwa kutumia scaner ya barcode/ qr code) pia iwe na uwezo wa kutoa taarifa ya stock. Na pia iwe inatuma taarifa zote za mauzo ya siku. Yaani kwa kifupi nataka software ambazo zinatumika supermarket ila mimi napenda ambayo itakuwa compatible kwa duka la simu na vifaa vyake. Na pia ni vyema mkinitajia na hardwares zinazohitajika ili ifanye kazi.
Natanguliza shukrani kama hautakuwa na muda wa kujibu hapa naomba uni sms number 0784893202
Natanguliza shukrani kama hautakuwa na muda wa kujibu hapa naomba uni sms number 0784893202