Msaada Tutani: Trademark ya kitabu

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
3,960
1,870
Hivi kuna namna ya kupata trademark upande wa kitabu, maana nataka nichapishe kitabu changu na niuze...
 

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
May 10, 2012
5,394
4,781
mkuu kama unazungumzia ISBN na weza kukusaidia,ila hiyo trade mark bado sijakuelewa unamaanisha nini?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom