Msaada tutani: Sijaelewa Picha hii inasema nini!

Msaada tutani: Sijaelewa Picha hii inasema nini!

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
800
Tujadili. Hii picha ina maana gani?

 

Attachments

  • diff.jpg
    diff.jpg
    53.4 KB · Views: 681
Yani inamaanisha kwamba, mwanamke akiwa anajiangalia kwenye kioo, hujidanganya kuwa ana nundu kubwa za kukalia
wakati mwanaume hujidanganya kuwa ana kifua na body ya mazoezi.
Kumbe ukweli wanajidanganya tuu.

Umepata
 
nafikiri ina maaanisha wanaume wanapenda wadada wenye makalia makubwa na wadada wanapenda wanaume wenye miili ya mazoezi
 
Kila mtu anajivunia kuwa na kitu kinachovutia jinsi tofauti na ya kwake.
 
Yani inamaanisha kwamba, mwanamke akiwa anajiangalia kwenye kioo, hujidanganya kuwa ana nundu kubwa za kukalia
wakati mwanaume hujidanganya kuwa ana kifua na body ya mazoezi.
Kumbe ukweli wanajidanganya tuu.

Umepata NUSU.

Hii picha ni muangalio wa kizungu na ina maana hii:

Mwanamke hata kama ana shape nzuri vipi (kwa kuslim) bado atajiona mnene (maana yake hapendezi).

Sisi wanaume hatujali - hata kama una spea tairi tatu tumboni utajiona wewe bado unadunda.
 
Back
Top Bottom