Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,280
- 16,556
Akyanani mtaniua nyie watanzania!
Kaja demu m1, demu tuuuu demu kanitoa faceboook yangu, kaja inboboooo, dada penny dada penny, my one and only 911, i need your heeeeeeelp!
Money Penny: haya boss nipigie nikampa namba ya simu akanipandia hewani.. nilichokaa
Demu: da penny, nisaidie naambiwa nanuka uchiii, Papuchiii nanukaaa
Money Penny: Waaaachaaaa weeeeeee! kivipi labda?!
Demu: nanilihuu akizama baharini anasema nanukaa nikajua ni yeye tuuu, basi nikaenda kwa mchepuko wangu akasema ivo ivooo, nikajua huyu nae ushuzi nikaenda kwa kaka m1 mtaa wa 3 ananifinyaga finyaga na ksiiii ksiii kiiila mwezi nikampanda, alipozama na kuibuka akasema dada me kuendelea na wewe siweziiii hata hamu ya kuendelea siweziii kasafishe machine iyo abeg
Hapo ndo nilijua kweli da penny me nanukaaa nimeeenda hospital dawa nimepewa lkn naona harufu haijaisha, naogaaaa, najisuguaaa, najisafishaaaa, mweee lkn naambiwa nanukaaa.. nisaidiieee
Money Penny: mmmh jaman mdogowangu pole sana sana ila me sijui nakusaidiaje,
Fanya hivi, chukua Nanasi tengeza juice kwenye blenda, kunywa asbh, mchana, jioni, kwa muda wa wiki 1 usiweke sukari plz
Au nenda Shoppers Plaza katafute matunda ya Cranberry saga kunywa kwa muda wa wiki 1
Usikutane kwanza na bwashee yeyote, pia kunywa maji mengi na chakula kula kama kawaida ukimaliza uje uniambia
Demu akafanya yake, bugia majuice ya nanasi (si unajua tena Cranberry ni ghali, so kabakia kwa nanasi) kula mananasi kwa sanaa, akanifuata Da Penny nishamaliza
Money Penny: haya wacheki mabwashee zako uje uniachie hela ya vocha miee God Bless darling!
Kakaenda maskini, baada ya siku 5 akakarudi Da penny we mchawiii! Mwe nasifika nanataaaaa, nanataaaa hamna haja ya ky wala vaseline, nanataaaaa, sinuki tenaaaaa
Money Penny: nikatumiwa elfu 50 gadame! Mwe hizo kazi zinaanzaje kulipa sasa me nilikuwa nafanya for fun kumbe passion has turned into a pay cheque, hahahaha
Naskia na Mange juzi katumbua msanii flan ananukaaa,
Msaidieni anywe juice ya mananasi kama sio Cranberry maana sio mara ya kwanza kuskia yule bin-shouger ananuka!
Shikamoo Mange
Je kama ni wewe Ungempa msaada gani mwingine huyu demu tofauti na nanasi?!