Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!

Nyie washamba tu hamjui hata romance ni mapenzi
Kiru! Sasa unataka afanye nae romance au?

miaka 33 bado anaitunza aisee
anahisi wadada wote mjini wanao olewa kila weeken ni maBK??
Inawezekana, na wapo wasioolewa hawana hizo BK! Hehe

Mwambie Ibada njema inaanzia Nyumbani
Aiser. Amina mtumishi. Sasa ampe au asimpe!? Maana bado haujajibu swali

Hebu pic kidogo tuone
Hamna picha poyeee

Wala sio rafk ako ni wewe mwenyewe. Mpe mambo
Me mke wa mtu bruh!nina watoto 3 bikra naipata wapi sa hivi nimeshazoea kukalia dushe!

33 old ni mdada, boyfriend atakuwa na 35? Au 40?
Bora atafute mwingine haraka sana, sitaki kuamin kuwa huyo mwanaume kweli hana mke
Anakuwaje na mke wakati wamemaliza chuo pamoja, ameoaje labda saa ngapi?!

mimi nadhani huyo kaka anaweza asiwe na mtu maalumu ila akawa na pozeo kwa either kununua au vinginevyo ila si wa kumsumbua muda wote ili aendelee na huyo dada...i mean anakua anapunguza while waiting a real deal...
Kiru! Kwaiyo ampe au ampotezee?!
 
Du huu ushauri noma. Asante sana ameupenda

Kidume alishaonja pembeni,ni ngumu sana kwa kidume kukaa muda wote huo,kuonja lazima.
Ahahahah uMeona ee?! Hata me nilimwambia
 
We demu nachukia uandishi wako ni mzigo hautii hamasa ya kuendelea kusoma, unaandika Kama upo kibarazani unateta na mashost zako
Poyeee! Poye sana best
Ukinichukia mimi utapasuka jaribu kunipenda tu maana Mungu ameagiza tupendane tena bure, ukinichukia hautakuwa mtoto wa Mungu

Uje usome stori zangu labda utanipenda! Hehe

Anza na hii zingine nitakutag baadae

Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
 
me utumishi niutolee wapi jibu asimpe niletee mimi ngoma mbichi niipige brush...
Sasa we utamchezea umwachie maumivu ili wanaume wengine waje wateseke bora akae tu single sio kesi
 
Wapeane tu,bikra haihalalishi kuwa wastahili kuolewa,mwenye bikra hatangazi.
Miaka hii,hatuhitaji bikra bali amani ata bila ya mpira.
MIAKA HII JBIKRA DILI
DAU WATU WANANUNUA MPAKA MIL 100
 
We demu nachukia uandishi wako ni mzigo hautii hamasa ya kuendelea kusoma, unaandika Kama upo kibarazani unateta na mashost zako
nigawe kwa Mkuu basi!
kha! lazima usome acha!
 
miaka 33 bado anaitunza aisee
anahisi wadada wote mjini wanao olewa kila weeken ni maBK??
kwani kauliza kuolewa?
kauliza ampe au asimpe!
nyie mbona sio waelewa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…