Za weekend wana MMU?!
Me jaman hizi kesi hizi mtanifunga sasa nakosa majibu ivooo!
Basi akaja dogo wangu m1, analalamika kama anataka kufa.. kupenda nako kubaya kiru!
Dada Penny, me nipo na mpenz wangu tunapendana sana, tupo kwenye mahusiano miaka 6 sasa, miaka 3 ya kwanza tulikuwa chuoni, mapenzi yakawa kwenye simu, skype, whatsapp, simu..boyfriend anasoma Bondeni mimi nasoma Uganda Makerere
Tulipotua Bongo baada ya shule kuisha tukaendelea na mahusiano live sasa, wote tumeokoka ivoo yale mambo ya kudonoana na mechi hamna mpaka ndoa, tukikutana ni stori za hapa na pale, hugs na kiss za mashavu imetokaa. Ndio wokovu sasa tunafanyaje, Yesu ndio kaagiza hivyo sisi ni kondoo tunatii
Money Penny: haleluyaaa! Sasa dogo, huyo boyfriend ni shoga au hanisi au?! Unauhakika hapigi nje kweli maana wokovu wa wanaume anaujua huyo huyo mwanaume mwenzao Mesiah! Kwanini unamfungia miguu labda?!
Dogo: Me hayo sijafuatilia, kama anapiga nje ni yeye shida ninayo mimi,
Money Penny: shida ipi sasa wewe dogo
Dogo: tatizo mimi Bikra
Money Penny: Bikra?! Una miaka mingap?!
Dogo: miaka 33
Money Penny: Tobaaa! Yesu ma Maria na Yisefu! 33 bado umepigwa bandeji, dogo hongera sana, je bwashee hajapasua glass kabisa?!
Dogo: ndio anajua, nilishamwambia mwanzo wa mahusiano yetu ila ndio hivyo sasa wokovu unataka tufunge miguu.
Hapa nimesubiri weee naona jamaa hanioi wala dalili hamna na umri unakwenda, sasa swali langu nakuuliza NIMPE papuchi anibikiri au NISIMPE?!
Naona kama nikimpa nitamkosa hatonioa au nikimpa atanioa akiikuta au nikimpa kwasababu amesubiri sana hataona thaman yake anaweza akapiga weee akichoka anasepa..Dada penny nafanyaje?! Embu nisaidie nimpe au nisimpe?!
Du mimi nimekosa pozi, naombeni msaada wenu wana MMU JF, je AMPE AU ASIMPEE?!
Aiseee tena asimpe kabisa... akimpa tuuu imekula kwake....
mbona rahisi tuu aangalie huyo jamaa kama ana nia ya kumuoa....
yeye katunza bikra mpaka mtu atakae muoa that very goog...
1Amuangalie huyo jamaa yake ana miaka mingapi?kama binti ana 33 jamaa anaweza kuwa na35+....so jamaa ana shughuli igani? ya kuingiza kipato?
2.Jamaa alishamtakia kuwa anataka kumuoa?if Not amuulize nini hatma ya uhusiano wao...
3.Kama binti atagundua jamaa ana nia binti amwambie jamaa akajitambulishe kwa wazazi,pia na yeye binti awajue wazazi wa jamaa na ndugu pia MUHIMU SANA HII Kama baba Mzazi wa jamaa,kaka na Dada hii itamuakikishia hadanganywi...
kama wana uhusiano muda mrefu huo ni Rahisi kujua ndugu zake walipo na wa ukweli...ASIYUMBUSHWE KWA HILO WALA ASIEWE NA WASIWASI KWA HILO KWASABABU HAPO MWANAUME NDO ANA HAMU SANA...AKUMBUKE KUJIAMINI NDI SILAHA KUU YA MWANAMKE.
4.Tofauti na hapo juu atulie mbona wapo wanaume wengi tuuu waowaji makazini huko na makongamano sio lazima yawe ya kidini....Akumbuke principle moja no kutoa papuchi bila kuwajua wazazi hasa Baba na mama wa kijana na utambulisho...Msomi hapo hudanganwyi wewe mwabnamke acha ujinga wa kudanganywa...