Msaada ' tutani ' Jamani....

Msaada ' tutani ' Jamani....

Ulifanikiwa?
Sikufanikiwa alikua anakataa, alisema ana mtu, hata urafiki alikataa. Halaf tulishuka kituo cha mwisho pamoja.

Nilikua sijawai ona black beauty ya namna ile tangu nizaliwe.....ndo mana nilijikuta nimefanya ivo sijawai tena.
 
Andika msg kwenye simu yako, kumwomba namba yake, mpate simu yako asome, halafu atakuandikia namba yake hapo kwenye msg yako.

Hakikisha hashuki kituo kinachofuata asije tambaa na simu[emoji38][emoji38][emoji38]
Akikataa je? Akakuangalia halafu anaachia bonge la sonyoooo[emoji57] [emoji57]
 
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri masikio au macho ya Abiria wengi wa Daladala ambao wengi wao huwa na Wivu / Husuda halafu pia wana Visununu / Visirani mno kwa Wenzao ambao hufanikisha mambo yao ndani ya huo Usafiri.

Nijibuni upesi hizi mbinu tafadhali ili hili zoezi nilianze rasmi mapema tu Kesho asubuhi kwani mazingira yangu mengi ya ni Daladala hivyo nahisi nami huko naweza kuopoa Kitu.

Nawasilisha.
Umenikumbusha kuna siku nimepanda daladala ya Mwananyamala-Kariakoo kufika Mkwajuni akapanda mtoto mmoja mzuri sana na jamaa yake. Somehow yule mtoto akapata kiti next to me jamaa yake akasimama kama row mbili mbele. Uzalendo ukanishinda nikasema huyu lazima nichukue namba najilipua. Nikachukua simu yangu nikaandika msg 'NAOMBA NIANDIKIE NAMBA YAKO YA SIMU' nikampa ile simu kichinichini.
Yule msichana akaisoma akatype 'NIANDIKIE YA KWAKO NIPE NA 5,000/- YA VOCHA NITAKUPIGIA'......bahati mbaya mfukoni nilikuwa na buku tu ilibidi niwe mpole kwanza inawezekana ningempa hio 5,000/- wala asingenitafuta!
 
Umenikumbusha kuna siku nimepanda daladala ya Mwananyamala-Kariakoo kufika Mkwajuni akapanda mtoto mmoja mzuri sana na jamaa yake. Somehow yule mtoto akapata kipi next to me jamaa yake akasimama kama row mbili mbele. Uzalendo ukanishinda nikasema huyu lazima nichukue namba najilipua. Nikachukua simu yangu nikaandika msg 'NAOMBA NIANDIKIE NAMBA YAKO YA SIMU' nikampa ile simu kichinichini.
Yule msichana akaisoma akatype 'NIANDIKIE YA KWAKO NIPE NA 5,000/- YA VOCHA NITAKUPIGIA'......bahati mbaya mfukoni nilikuwa na buku tu ilibidi niwe mpole kwanza inawezekana ningempa hio 5,000/- wala asingenitafuta!

Ha ha ha ha ha ha ha......jana usiku mida ya Saa 5 hivi kabla sija ' log out ' kuna Mtu humu aliandika Kitu kiukweli ' nilicheka ' sana na nikamshukuru kwa kuniburudisha nikiwa naenda Kulala na Wewe tena nime ' log in ' leo umefanya kile kile alichofanya Jamaa jana kwa kunifanya ' nicheke ' mno asubuhi hii kwa ulichokiandika. Ama kweli JamiiForums ni raha na burudani tosha. Ahsante Mkuu kwa kuniongezea siku zangu za kuishi. Kuna Watu mna vituko na ni ' Comedians ' wazuri sana hapa Jamvini hakyanani!
 
mjini watu wanatembea na mfano wa business card, nasema "mfano" kwa kuwa humo hautaweka details zako za ndani, zaidi ya jina tena kwa kifupi au nick name kabisa na namba labda na email address.
NB: usiweke namba zaidi ya moja, mjini hakuna kuaminiana
Hahahahahaha
 
Inaonekana huko kwenye Eicher kuna wanawake cheap, shida yao kubwa wana dependence syndrome wanaomba mpaka kero.
 
Akikataa je? Akakuangalia halafu anaachia bonge la sonyoooo[emoji57] [emoji57]
Lazima ubembeleze auingii kichwa kichwa kama Afande/traffic police.
Unamuambia samahan dada kuna ujumbe naomba usome apa afu unijibu.
 
Umenikumbusha kuna siku nimepanda daladala ya Mwananyamala-Kariakoo kufika Mkwajuni akapanda mtoto mmoja mzuri sana na jamaa yake. Somehow yule mtoto akapata kiti next to me jamaa yake akasimama kama row mbili mbele. Uzalendo ukanishinda nikasema huyu lazima nichukue namba najilipua. Nikachukua simu yangu nikaandika msg 'NAOMBA NIANDIKIE NAMBA YAKO YA SIMU' nikampa ile simu kichinichini.
Yule msichana akaisoma akatype 'NIANDIKIE YA KWAKO NIPE NA 5,000/- YA VOCHA NITAKUPIGIA'......bahati mbaya mfukoni nilikuwa na buku tu ilibidi niwe mpole kwanza inawezekana ningempa hio 5,000/- wala asingenitafuta!
Duh waatoto wa Kinondoni (chicks/madem) wengi wafanyanya biashara.. [emoji16]
 
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri masikio au macho ya Abiria wengi wa Daladala ambao wengi wao huwa na Wivu / Husuda halafu pia wana Visununu / Visirani mno kwa Wenzao ambao hufanikisha mambo yao ndani ya huo Usafiri.

Nijibuni upesi hizi mbinu tafadhali ili hili zoezi nilianze rasmi mapema tu Kesho asubuhi kwani mazingira yangu mengi ya ni Daladala hivyo nahisi nami huko naweza kuopoa Kitu.

Nawasilisha.
We mpe simu tu aandike namba.... akiuliza ya nini... mwambie namba
 
Back
Top Bottom