Msaada ' tutani ' Jamani....

Msaada ' tutani ' Jamani....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,707
Reaction score
128,214
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri masikio au macho ya Abiria wengi wa Daladala ambao wengi wao huwa na Wivu / Husuda halafu pia wana Visununu / Visirani mno kwa Wenzao ambao hufanikisha mambo yao ndani ya huo Usafiri.

Nijibuni upesi hizi mbinu tafadhali ili hili zoezi nilianze rasmi mapema tu Kesho asubuhi kwani mazingira yangu mengi ya ni Daladala hivyo nahisi nami huko naweza kuopoa Kitu.

Nawasilisha.
 
Jamba, abiria wote akili yao itabaki ktk harufu, wewr utapata mwanya mzuri wa kumwongeresha huyo binti.

Shikamoo Mkuu! Nilikuwa nataka Mtu wa Kunichekesha ili niimalizie Siku yangu ya leo kwa furaha kusudi hapo ifikapo Saa 6 Kamili usiku huu dakika 42 tu kutoka sasa niki ' log out ' humu basi nilale kwa amani tele ya JamiiForums.
 
Andika msg kwenye simu yako, kumwomba namba yake, mpate simu yako asome, halafu atakuandikia namba yake hapo kwenye msg yako.

Hakikisha hashuki kituo kinachofuata asije tambaa na simu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
kabla hujapanda daladala chukua buku tano andika namba yako,ukiwa kwenye daladala mlipie nauli kisha mpe ile buku tano yenye namba mwambie uta ni beep ,kwishney huyo wako tayari
 
Naomba nipewe ujanja / mbinu ya ama kumuomba namba ya Simu Mwanamke mkiwa katika Daladala lililojaa bila kuona aibu au ile ya kumpa Mwanamke namba yako ya Simu ' kimya kimya ' bila ya kuathiri masikio au macho ya Abiria wengi wa Daladala ambao wengi wao huwa na Wivu / Husuda halafu pia wana Visununu / Visirani mno kwa Wenzao ambao hufanikisha mambo yao ndani ya huo Usafiri.

Nijibuni upesi hizi mbinu tafadhali ili hili zoezi nilianze rasmi mapema tu Kesho asubuhi kwani mazingira yangu mengi ya ni Daladala hivyo nahisi nami huko naweza kuopoa Kitu.
tengeneza business card
 
Mkanyage kidogo na usiutoe mguu mpaka ashituke, akigomba mwombe msamaha na anzisha stori fupi za shida za kwenye daladala. Usiache kumsemesha mpaka ajiunge kwenye msafara. Kifupi mfanye aone haja ya maongezi kisha unaaga kwa shingo upande katikati ya maongezi kuwa unashuka kituo kinachofuata unalailai na kuchukua namba kiulainiiiiii.😛😛😛😛
 
mjini watu wanatembea na mfano wa business card, nasema "mfano" kwa kuwa humo hautaweka details zako za ndani, zaidi ya jina tena kwa kifupi au nick name kabisa na namba labda na email address.
NB: usiweke namba zaidi ya moja, mjini hakuna kuaminiana
 
Andika msg kwenye simu yako, kumwomba namba yake, mpate simu yako asome, halafu atakuandikia namba yake hapo kwenye msg yako.

Hakikisha hashuki kituo kinachofuata asije tambaa na simu[emoji38][emoji38][emoji38]
Hii strateji nzuri.

Na mimi nahitaji ya kuomba namba PM.
 
Andika msg kwenye simu yako, kumwomba namba yake, mpate simu yako asome, halafu atakuandikia namba yake hapo kwenye msg yako.

Hakikisha hashuki kituo kinachofuata asije tambaa na simu[emoji38][emoji38][emoji38]
Nilishajaribu hii....
 
Back
Top Bottom