Msaada tutaani: Nawezaje delete thread yangu?, bado dent humu Jf

Msaada tutaani: Nawezaje delete thread yangu?, bado dent humu Jf

JohnnyGeek

Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
17
Reaction score
18
Nawezaje delete thread, baada ya kuona inajaza kabati humu JF?
msaada jamani?
naomba steps.....
 
JF Hawaruhusu user kudelete thread,mwenye uwezo huo ni moderator peke yake.Hivyo cha kufanya ni kutuma message kwa moderator yoyote kumuomba aifute AU futa maneno yote kwenye post yako uiache blank...
 
Nawezaje delete thread, baada ya kuona inajaza kabati humu JF?
msaada jamani?
naomba steps.....

Ili ku-delete post yako fanya hivi:

1. click EIDT POST hapo chini katika post yako ulotuma.
2. kati ya SAVE, GO ADVANCED, DELETE na CANCEL, wee click DELETE. Maneno hayo utayaona hapo chini ya post mara baada ya ku-click EDIT POST.
3. baada ya kubofya DELETE, upande wa kushoto kwa chini utaona kibox pembeni yake kuna kiduara kidogo, kibofye hicho kiduara. Usiandike chochote ndani ya kibox
4. mwisho bofya sehem iloandikwa DELETE POST. Hapo utakuwa umefuta post yako hapa jf.

JF Hawaruhusu user kudelete thread,mwenye uwezo huo ni moderator peke yake.Hivyo cha kufanya ni kutuma message kwa moderator yoyote kumuomba aifute AU futa maneno yote kwenye post yako uiache blank...

Una uhakika na unachokisema??? Mbona ziko meseji nyingi zimefutwa?????!!!.
 
JohnnyGeek

Ukitaka Thread yako ifutwe wasiliana na Mods watakusaidia jambo hilo, au sema hapa ni thread ipi unataka ifutwe

Baba Mtu

Ni kweli anachosema IrDA Member wa kawaida hawezi kufuta Thread .... sio kufuta comment zake

Ulichoandika hapo juu ni process ya kufuta post yako
 
Last edited by a moderator:

Sijakuelewa kabsaaaa!!
 
Back
Top Bottom