Msaada tunnelguru imeacha kufanya kaz

Msaada tunnelguru imeacha kufanya kaz

ukabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
212
Reaction score
68
Msaada wadau tunnelguru imeacha kufanya Kaz kwa Halotel mwenye port mpya au mbini mpya anipatie tafadhalii
 
Mmezidi sana kuanika haya mambo wenyewe wameshaziba mianya hiyo uanze kununua bando sasa
 
Safari moja uwanzisha nyingine tutapata kitonga kingine tu uvumilivu jadi yetu
 
umetaja na mtandao kabisa na unataka uwekewe port mpya hadharani.
 
Msaada wadau tunnelguru imeacha kufanya Kaz kwa Halotel mwenye port mpya au mbini mpya anipatie tafadhalii
Dah watu kama nyie hamfai kabisa kwenye Jamii..
 
Umezingua wewe mkuu so waambie wenyewe wakupe port zao mpya mambo mengine ulitakiwa uombe msaada hata pm wajuvi wa mambo hayo wangekusaidia.
 
sasa umeomba humu sahau kusaidiwa acha wajuvi wale kimya kimya
 
Back
Top Bottom