Msaada: Tumetapeliwa!




hiyo typing prediction iko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cyber Crime....hackers wanajipanga ila wanaohusika na hayo makosa hawajipangi.Unakuta huo ni mchezo mfupi tu umechezwa ila umeiacha benki hola vipi sasa kwa wale professional wenyewe wanaowindwa na taasisi mbalimbali za ulinzi...Na kama ni kweli basi huyo kakomba nyingi mno!!! Haya mabenki yanaona uvivu kuajiri watu wa infosec kama vile hawaoni haya mambo yanavyozidi kukua bongo!! Shauri yao.
Pole sana Chief kwa kupoteza kiasi kikubwa cha pesa.
 
VODACOM +255 743 938 273 iliyosajiliwa kwa jina la NYAMIZI MASANJA. Ushapata jina lake na namba ya simu ya evidence afu unashindwa kumpata may be huna shida nae tu, elfu 60 tu ukienda polisi ukaongea na wahusika huyo unampata ndaki ya masaa 6 tu , tena unampata yeye na ukoo wake wote.

Mi nikiamua kumwinda mtu Tanzania hii nampata yeye na ukoo wake wote.
Warning: huyo jamaa ataendelea kupata hela zote zinazoingia bank na tigopesa/mpesa mpaka mmpate au mtelekeze hizo akaunti na laini zote na simu muitupe
 
Huenda alisajilia jina fake.Na Matapeli wengi Wapo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivipi hii?? embu elezea zaidi
 
saa nyingine hata mimi nahisi nadukuliwa nikimtumia mtu fedha...
Hiyo inanitokea mara kwa mara nnapokua nmeshafanya muamala kutuma ela kwa NMB Mobile.

Kuna wapuuz Ela ikishatumwa TU, wanatumia sms.

"Ela itumu kwny hi Namba*****, jina Herman Mnyamisi. Simu yangu inazima chaji."

Nnawasiwasi huu mchezo, watu wa benki wanashiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh! umakini mkubwa unahitajika
 
Kuna mambo mawili apo maana huwez kuaccess account ya mtu bila kujua namba za siri

1. Moja inawezekana wife alitaja namba za siri bila kujua akajakushtuka kaishaibiwa na kakuficha kama alitaja namba za siri ili asionekana mjinga


2. Inawezekana wife anajua yeye alipo peleka izo pesa na kuamua kufunga sim banking maana unaweza kumuomba simu uingize menyu ya simu banking usipokuta error utashtuka

Zingatia hayo mambo mawili mwisho haiwezekani na haitawezekana kamwe mtu kuibiwa bila namba ya siri hata kwa technologia ya apple au bill gates never ever

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…