msaada:TUITION PROVIDERS FOR NBAA EXAMINATIONS.

Katitima

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
627
117
Poleni kwa kazi na majukumu mengine ya kila siku wakuu,

Sio mwenyeji sana wa morogoro manispaa na nimehamishiwa hapa kikazi,
lengo langu ni kufahamu kama kuna VITUO VILIVYOIDHINISHWA KWA MASOMO YA ZIADA KWA AJILI YA MITIHANI YA BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA MAHESABU(NBAA)tafadhali wakuu kama kuna yeyote anayefahamu naomba anijuze.

NB:kwa wale wenye taarifa zaidi watanijuza na mpangilio wa kituo cha mitihani kwa hapa.

Heshima mbele kama tai wakuu na ninatanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
 
Back
Top Bottom