Msaada Toyota rush inanipasua kichwa

Msaada Toyota rush inanipasua kichwa

jerryempire

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
5,830
Reaction score
10,089
Habari.
Jamani msaada kwenye tuta
Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno.

Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard na gari inakuwa haibadili tena gear.

Hapo ndo mpka upaki ikipoa inakuwa kawaida je ulishawahi kukutana na hii changamoto na uliwezaje kuitatua ndugu yangu?
Msaada naona dalili za kwenda kuliacha barabarani kwa hasira
 
Ishu hako ndogo sana, check ignition coil, spark.
Ac huwa inabebesha mzigo kiasi engine , kama haichomi vizuri lazima ishtuke izime.
 
Issue bado sijapata fundi mzuri wa umeme
Toyota Rush ni gari kipengere, wiring, engine na geabox yake wajapani walidesa. Ni gari nzuri ikiwa mpya. Ikianza kuchoka utaikimbia.
Ushauri: itengeneze, iuze usifunge ndoa na vyuma mkuu.
 
Habari.
Jamani msaada kwenye tuta
Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno.

Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard na gari inakuwa haibadili tena gear.

Hapo ndo mpka upaki ikipoa inakuwa kawaida je ulishawahi kukutana na hii changamoto na uliwezaje kuitatua ndugu yangu?
Msaada naona dalili za kwenda kuliacha barabarani kwa hasira
Mkuu peleka gari kwa mtaalam wa diagnostic, lazima tatizo liko kwenye ECU-Electronic Control Unit.
 
Toyota Rush ni gari kipengere, wiring, engine na geabox yake wajapani walidesa. Ni gari nzuri ikiwa mpya. Ikianza kuchoka utaikimbia.
Ushauri: itengeneze, iuze usifunge ndoa na vyuma mkuu.
Huu sio uungwana. Je akinunua mwana JF atakuja Tena kuomba ushauri. Usimfanyie binafamu mwenzie kitu usichopenda kutendewa. Jua malipo ni hapa hapa duniani. Unamshikisha mtu nawe unashikishwa kitu Tena na mjapani ambae huwezi hata kumwona akupe historia ya tatizo lilianzaje
 
Nimeshauri atengeneze mkuu. Sasa mimi sio muungwana wapi hapo mzee. Magari yanauzwa sawa na bei ya matatizo yake.
 
Toyota Rush ni gari kipengere, wiring, engine na geabox yake wajapani walidesa. Ni gari nzuri ikiwa mpya. Ikianza kuchoka utaikimbia.
Ushauri: itengeneze, iuze usifunge ndoa na vyuma mkuu.
Atuuzie kimeo!Wacha afe nayo mwenyewe.
 
Habari.
Jamani msaada kwenye tuta
Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno.

Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard na gari inakuwa haibadili tena gear.

Hapo ndo mpka upaki ikipoa inakuwa kawaida je ulishawahi kukutana na hii changamoto na uliwezaje kuitatua ndugu yangu?
Msaada naona dalili za kwenda kuliacha barabarani kwa hasira
Mkuu bado upo nayo??ulifanikiwa kutatua changamoto??shida ilikuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom