wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 113
wakuu mwenye utalaam wa torroid transfoma anisaidie, maana nimeitumia ktk amplifier yangu ndan ya wik 1 tu lakin sasa haitoi output zake, lakn ukipima ohms zipo poa, asa nashindwa kuielewa. Yenyewe ni ya volts 22v-0-22v