Msaada:Tofauti kati ya EGM na HGE

mbona watu wanasema EGM huwezi kusomea GEOLOGY
 
kwa hiyo EGM pamoja na kupigika na Math's at the end of the day unakutana na aliyepiga HGE. Ina maana hakuna kitu atachoapply wa EGM na HGE akashindwa kuapply?

kwan math ugonjwa jaman
 
we ndo umeelezea kisomi .
 
Na kama mtu kaua six akichukua PGM
lakin hata o-level hakupiga chemistry. je
anaweza kuchukua coz kama GEOLOGY,
PETROLEUM ENGINEERING, MINING
ENGINEERING AND OTHER RELATED pale
UDOM
 
nilisoma EGM na na sasa mimi ni architect, HGE huwezi kusoma architecture, EGM unaweza kusoma baadhi ya course za sayansi.
 
Soma PCM unaweza soma Kozi yeyote hapa Tanzania
Nakumbuka wakati nasoma Tution kwa MAKO pale Magomeni alikuwa anatuambia PCM unasoma hata LAW
 
Wanafunzi mko wengi humu, kama vipi fanyeni hima suala la kuanzisha tuition za form 4 na 6 humu
 
kwa hiyo EGM pamoja na kupigika na Math's at the end of the day unakutana na aliyepiga HGE. Ina maana hakuna kitu atachoapply wa EGM na HGE akashindwa kuapply?

EGM pia anasoma Bsc Math.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
ndio maana yake. Bora usome HGE. History ya Advance ni kama ya o'level tu.
Acha kumpotosha bwana mdogo wewe....hivi kama hamjui mambo c bora muwe mnakaa kimya...kwa hiyo wewe kwa akili zako kila course anayoapply na anayoweza kusoma mtu wa E.G.M na mtu wa H.G.E anaweza etii??
 
kwa hiyo EGM pamoja na kupigika na Math's at the end of the day unakutana na aliyepiga HGE. Ina maana hakuna kitu atachoapply wa EGM na HGE akashindwa kuapply?
Wewe hao wenzio wanakupotosha...kuna course nyingi tu anazoweza soma E.G.M na mtu wa H.G.E hawezi
 
Kuna faida nyingi ukisoma egm na unakuwa na uwanja mpana
Maana unaweza kusoma hadi engineer tofauti na hge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…