junior godwin mapande
Member
- Aug 31, 2018
- 5
- 1
wakuu mm niliku nauliza MTU Wa hge anaweza kusoma computer science kama akipata A ya basic math
Umesahau na architectureKwa chuo utasomea issue yoyote ila isiwe ya science..Hz hapo just ni combination tu, mwisho wa siku mara nyingi kozi utakazoomba hata mtu wa HGK au HGL anauwezo wa ku-apply, ila ukija kusoma masomo ya biashara chuo unapata advantages flani ya Hesabu na Uchumi kuliko aliyesoma GK au GL
Ila nimeona watu wengi waliosoma EGM, chuo wanaenda kusoma ECONOMICS, BCOM, STATISTICS, IT & BAF