Msaada tecno w5 baadae ya factory reset.

Msaada tecno w5 baadae ya factory reset.

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
953
Reaction score
669
Habari ndugu zangu, nina techno w5 niliifanyia factory reset sasa wakati wa kureboot nimekwama imeleta option ya
Kuunga Wi-Fi nikijaribu kuunga inataka niwashe Wi-Fi nasijui hiyo Wi-Fi inawashwaje.
 
Attachments

  • 20181009_084622.jpg
    20181009_084622.jpg
    98.2 KB · Views: 39
Mkuu tafuta simu nyingine then wash hotspot itajiconnect then endelea

Au kama kama kuna neno #skip fany mavitu
 
Mkuu tafuta simu nyingine then wash hotspot itajiconnect then endelea

Au kama kama kuna neno #skip fany mavitu

Mkuu nimefanya hivyo lakini simu aionyeshi available network
 
Hii simu yawezekana ina google account .tafuta simu ya android connect na wifi baada ya kuconnect fuata hatua kadhaa maana itakuuliza kila hatua hakikisha unakumbuka email na password ya google account
 
Inagoma connect Wi-Fi ila nimefanikiwa tayari
 
Nashukuru wadau nimefanikiwa kwa kutumia software tool inayoitwa miracle box flash.
 
Back
Top Bottom