AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,431
- 1,406
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naomba kujua bei ya tecno P.5 dukani.nipo dae es salaam kwahiyo naomba kujua kwa dar .
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naomba kujua bei ya tecno P.5 dukani.nipo dae es salaam kwahiyo naomba kujua kwa dar .
ila unaweza chukua H5 ambayo ni 140000 ambayo haina utofaut na p5 sema kwenye front camera tu
Hiyo H5 ya 140,000/= ndio bei ya kila mahali au DSM.... peke yake??