ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,291
Ni Arusha kuna duka linaitwa Saraya phones, na lingine linaitwa Dubai phone. pia maduka mengine wanauza bei hiyo hiyo
mkuu wapi hapo 150000 kuna wahafidhina wanataka niuzia kwa 174000 nisaidie fasta nikachukue.