bright pledge 255
Senior Member
- Aug 15, 2022
- 140
- 172
Uko kwenye kipindi cha balehe, mwili unapanga mafaili tayari kwa kuanza majukumu.Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba msaada.
Muongo!Mara nyingi hiyo hali huwatokea vijana wa Kiume wanapofika umri wa balehe.
Hiyo hali huwa inapotea Kwa kuyakamua na kutoka vimaji Maji kama Maziwa. Usipofanya hivyo wanasema huvimba na kufanya mtoto kuwa na Maziwa makubwa kama mdada.
Ngoja wataalamu waje kutoa muongozo
Hakuna cha hospital ni kawaida tuPole sana, nenda hospitali kwa msaada zaidi
Nimewahi kuona baadhi ya Vijana wakiwa hivyo, anyways. Shukrani Kwa MuongozoMuongo!
Mimi nilikuwa hivyo zamani wakati naingia balehe hiyo hali ikaja kupotea yenyewe,tena nilikuwa sijui hadi nilipokusoma hapa nikaji-check nikakuta haipo tena kama mwanzo.
daaaa unatamani hata uchukue kisu uvikatekate utupe kuleKuna jamaa nilisoma naye alikuwa na vichuchu wima kama Binti!
Alikuwa anajichukia sana hiyo hali, Tuliopotezana sijui yupo wapi, kiuhalisia kwao ni singida!
mimi nagonga 25 tokea miaka 13 ,sidhani kama ni normalmbona ni hali ya mpito iyo ?
niliipata nakumbuka wakati nabalehe, sikumbuki mwaka, nikamstua dingi akasema 'kawaida'
baada ya (miezi sijui mwaka) vikatoweka
em weka kapicha mkuu,mimi nagonga 25 tokea miaka 13 ,sidhani kama ni normal
hahaha, sasa we ni new member huna la kupoteza mkuuhhhhhhh, hata kwa dawa
siwezi nikajifanyia self embarasmenthahaha, sasa we ni new member huna la kupoteza mkuu
pandisha picha
Hivi vidude nami ninavyo mzeesiwezi nikajifanyia self embarasment
Kama mm vile mkuuKuna jamaa nilisoma naye alikuwa na vichuchu wima kama Binti!
Alikuwa anajichukia sana hiyo hali, Tuliopotezana sijui yupo wapi, kiuhalisia kwao ni singida!