Je simu yako ina RAM kiasi gani? Kama ipo chini ya 1gb ujue ni rahisi kwa simu kuzidiwa (overloaded) endapo umejaza application kwenye hiyo simu na kuna baadhi ya application ambazo huwa zinaongeza cpu usage.Naomben Masada nn solution kama cm ikiwa inaganda sana au kwa lugha nyingine tunaweza sema ina stakii na inakuwa slow sna kweny kifungua Apps,, msaada jaman nn nifanye kuondokana na hlo tatizo
Asante mkuuJe simu yako ina RAM kiasi gani? Kama ipo chini ya 1gb ujue ni rahisi kwa simu kuzidiwa (overloaded) endapo umejaza application kwenye hiyo simu na kuna baadhi ya application ambazo huwa zinaongeza cpu usage.
Anyway, suruhisho ni kuziuninstall baadhi ya applications.
jibu swali la juu ina ram ngapi? simu kuwa slow inaweza kusababishwa na mambo mengi, storage ambayo ipo slow, cpu ndogo, ram, software ambayo sio optimized etc ni vyema pia ukitaja na aina ya simu yenyeweAsante mkuu