Msaada: Tatizo la simu kuganda (stucking)

soskeneth

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
583
235
Naomben Masada nn solution kama cm ikiwa inaganda sana au kwa lugha nyingine tunaweza sema ina stakii na inakuwa slow sna kweny kifungua Apps,, msaada jaman nn nifanye kuondokana na hlo tatizo
 
Je simu yako ina RAM kiasi gani? Kama ipo chini ya 1gb ujue ni rahisi kwa simu kuzidiwa (overloaded) endapo umejaza application kwenye hiyo simu na kuna baadhi ya application ambazo huwa zinaongeza cpu usage.
Anyway, suruhisho ni kuziuninstall baadhi ya applications.
 
Asante mkuu
 
Restart kwanza simu yako maana sometimes simu ikikaa on muda mrefu bila kuzimwa inafanya hivyo lakini kama unaizima mara kwa mara basi cha kufanya ni kama alivyo sema Mkuu hapo juu.
 
Shukran
 
Back
Top Bottom