Mapfa A
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 250
- 258
Habari wakuu!
Nilinunua parcel (simu) kupitia AliExpress online shopping, taratibu za malipo ziliikamilika vema na mzigo wangu ukasafirishwa na AliExpress standard shipping, ukafika destination kenya lakin tatizo ni kwamba mzigo umebaki kenya tangu January 06-2017
Mpaka Sasa hawajautuma kwenye local destination ambayo ni Dsm-Tanzania na customer protection time imeisha tangu February 19 nilikata rufaa na AliExpress wakasema watarefund lakin bado hawajarefund.
Pia maelezo ya seller anadai mzigo umefika pia nikawasiliana na posta yangu nikawatumia Tracking number nao wanadai Mzigo uko kenya haujawafikia, ila bado DISPUTE ipo in progress.
Wakuu naomba Masada wenu.