Msaada, Tatizo la low voltage

Msaada, Tatizo la low voltage

Shukurani kwa mchango wako Mkuu, ila siyo kwamba meter inakata umeme kabisa, hapana unaingia ila taa zinawaka dim, huwezi kuona bila kutumia nishati mbadala.
kama majirani wanapata mwanga wa kutosha ila kwako ndo inakuwa hvo embu jaribu kuchek na tanesco kama hujachek nao, inawezekana kuna tatizo kwenye nyumba yako au vinginevyo
 
ila mkuu hlo neno "nimepatia" sijalipenda maana linasound kama sikuwa najua ninachoongea, ungeniambia tu nimeelezea safi kabisa, kupatia tena? ha ha ha
Ahahahaha kiufupi umeongea kitaalamu sana mkuu...
Alafu kama unavyojua nazingua tuu hakuna u seriously wowote ule kuwa na amani fundi umeme..

🙌😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Mimi huku kwetu nyumba yetu inabwia umeme mkuu so poa
 
Ahahahaha kiufupi umeongea kitaalamu sana mkuu...
Alafu kama unavyojua nazingua tuu hakuna u seriously wowote ule kuwa na amani fundi umeme..

Mimi huku kwetu nyumba yetu inabwia umeme mkuu so poa
poa poa, fundi umeme tena, hapana mkuu huko wala sipo kabisaaa.

nyumba inabwia umeme,

1. wiring haipo sawa/ya kizamani, kuna sehemu umeme unapotea.

2. vitu venu vya umeme viko na shida, labda ni vya kizamani (sorry) sana vinabwia umeme, kwa mfano unakuta fridge masaa yote linaunguruma tu au pasi haikati umeme ikishapata moto wa kutosha.

3. jaribuni kutokujaza sana mavitu kwenye fridge, nayo inachangia kula umeme mwingi.

fuatilia hayo mkuu, homa ikizid muone dakitari (tanesco) japo wengi magumashi tu.
 
Unajiskiaje kusema mbele ya hadhara kwamba kwetu sisi tuna vitu vitu vya zamani..
Hi sijapenda mkuu ni udhalilishaji ukipitia kifungu 231 ibara ya tatu inasema

""Miongoni mwa makosa ya udhalilishaji basi kutumia mtando wa kijamii kusema hali halisi ya mwenzako ni kosa kisheria""
 
poa poa, fundi umeme tena, hapana mkuu huko wala sipo kabisaaa.

nyumba inabwia umeme,

1. wiring haipo sawa/ya kizamani, kuna sehemu umeme unapotea.

2. vitu venu vya umeme viko na shida, labda ni vya kizamani (sorry) sana vinabwia umeme, kwa mfano unakuta fridge masaa yote linaunguruma tu au pasi haikati umeme ikishapata moto wa kutosha.

3. jaribuni kutokujaza sana mavitu kwenye fridge, nayo inachangia kula umeme mwingi.

fuatilia hayo mkuu, homa ikizid muone dakitari (tanesco) japo wengi magumashi tu.
Hapa itakua wiring mkuu maanaa hali ni mbaya ujue daaah we acha tu
 
Unajiskia kusema mbele ya hadhara kwamba kwetu sisi tuna vitu vitu vya zamani..
Hi sijapenda mkuu ni udhalilishaji ukipitia kifungu 231 ibara ya tatu inasema

""Miongoni mwa makosa ya udhalilishaji basi kutumia mtando wa kijamii kusema hali halisi ya mwenzako ni kosa kisheria""
Nimecheka sana mkuu, ila kuna sehemu nilisema sorry, ila mkuu mm nilikuwa tu nataka kukuelezea sehemu tatizo linaweza kuwa lipo, sasa kama nimepiga kwenye mshono, samahani mkuu
 
Basi achana na Fundi wako huyo aweza kua fundi maiko piga namba yao ya dharula, sijui ulipo ila hapa mtaani kwetu within 1-2 days huwa wanafika, wao itakua rahisi zaidi kujua shida ikowapi.
Au piga hii namba bure 118 waeleze uskie.
Tanesco Apigee 180 Ni Bure, Inapatikana 24/7
 
Nimecheka sana mkuu, ila kuna sehemu nilisema sorry, ila mkuu mm nilikuwa tu nataka kukuelezea sehemu tatizo linaweza kuwa lipo, sasa kama nimepiga kwenye mshono, samahani mkuu
Hapo mkuu ndo umefurahi kusema sisi tuna redio ya mwaka 1967 sio😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Okay! Ila hapa kwetu majirani umeme unawaka vizuri, kwa maana kwamba hii siyo issue ya transfoma.
Mkuu inaweza ikawa ni ya transfoma Ila ili kujua ni transfoma fundi aje na Meter azime main switch. apime AC voltage zinazokuja kutoka kwenye line ya tanesco yaani nguzo Kama zinafika 230 v. Kama zitakua ni chini ya hapo angalia kwa makini line yako uenda ni tofauti na ya jirani. Maana transformer inakuwa na three phase. Na unaweza tokea Kati ya hizo three phase moja ikawa inatoa low voltage ambayo ndiyo imeungwa kwako. Au wakati mwingine matumizi yanakuwa makubwa kuliko uwezi wa transformer ndiyo maana usiku watu wakilala wanapunguza matumizi transformer inarudi normal umeme ukaa sawa kukikucha watu wakianza matumizi unakuwa low voltage Tena. Hapo lazima iongezwe transformer ili kugawa matumizi ya wateja .
 
Tumia stablizer inamaliza kbs hilo tatzo kwa tv, redio na friji
Habari Wanabodi!

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama wiki tatu zilizopita niliunganishiwa umeme na TANESCO, ila kumekuwa na tatizo la low voltage hasa kuanzia saa moja usiku hadi saa tano au sita usiku ndiyo unalejea kwenye voltage ya kawaida.
Nyumba ilikuwa na wire ring imekaa muda mrefu bila kutumika.

Amekuja fundi kurekebisha ila bado hajafanikiwa.

Karibu wadau.
 
Tumia stablizer mkuu
Hili ni janga! Binafsi nilifungiwa mita miaka miwili iliyopita na kila jioni ikifika umeme unakatika. Nimepiga simu Tanesco mpaka nimechoka, wanakuja mafundi wakitoka tu, umeme unakatika wakati nyumba za jirani zina umeme - mpaka AIBU. Siku moja mtu wa huduma kwa wateja alinipa namba nyingi za kuingiza kwenye remote, lakini tatizo linaendelea, nilikasirika nikawambia waje waondoe mita yao nitafute solar. Ni shida! Ukipata suluhu tushirikishe
 
Shukurani kwa mchango wako Mkuu, ila siyo kwamba meter inakata umeme kabisa, hapana unaingia ila taa zinawaka dim, huwezi kuona bila kutumia nishati mbadala.
Badilisha bulb hizo. Achana bulb zilizotengenezwa Tz, tafuta za China original kabisa mfano Tronic weka tatizo litaisha. Hizo unazotumia ni bulb za viwanda vya wachina vya Mkuranga.
 
Back
Top Bottom