Msaada Tatizo la Kujijaza Local Disc C automatically

Msaada Tatizo la Kujijaza Local Disc C automatically

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,323
Reaction score
15,090
Wakuu niliomba Msaada wa Hili Tatizo lakini sikupata Msaada wengi wamejikita kwenye Ukisiaji na Ku google Kitu ambacho Mimi hakinishindi

Naomba Mwenye Njia sahihi ya Kurekebisha hili Tatizo anisaidie kila nikifuta Vitu inajijaza Yenyewe nahitaji Techniques Mpya za Kudhibiti Hii Kadhia
IMG_20170731_153538_652.JPG
 
Tumia disk cleanup, kisha kwenye system chagua vya kudelete, chagua vyote. Itakuwa old files inakula nafasi yako.
 
Tumia disk cleanup, kisha kwenye system chagua vya kudelete, chagua vyote. Itakuwa old files inakula nafasi yako.
Mkuu nikichezi Folder lenye GB nyingi ni 31.3GB out of 98GB hizi Takriban 67GB zimejificha Wapi?
 
Mkuu nikichezi Folder lenye GB nyingi ni 31.3GB out of 98GB hizi Takriban 67GB zimejificha Wapi?
Nenda control panel, kisha system and security kisha administrative tools kisha click disk clean up tools. Itafunguka windows ndogo ya disk clean up, shuka chini kidogo upande wa kushoto chini click tab ya clean up system files. Baada ya hapo kuna processing windows ndogo itacalculate availabe space ikimaliza itafungua tena windows ndogo ya disk clean up. Ziwekee tick zote kisha angalia disk space inaonyesha ni ngapi, baada ya hapo bonyeza ok na itatokea windows ndogo nyingine bonyeza delete files. Kisha iache mpaka imalize.
Baada ya hapa nafikiri utakuta space yako imeerudi.
 
Click window button
Then type %temp% kisha utaona temporary files
Kisha delete

Usisahau ku turn off automatic update kwenye control panel
 
Wakuu niliomba Msaada wa Hili Tatizo lakini sikupata Msaada wengi wamejikita kwenye Ukisiaji na Ku google Kitu ambacho Mimi hakinishindi

Naomba Mwenye Njia sahihi ya Kurekebisha hili Tatizo anisaidie kila nikifuta Vitu inajijaza Yenyewe nahitaji Techniques Mpya za Kudhibiti Hii Kadhia
View attachment 554749

Delete all files in:-
C\Windows\Temp folder and
C:Windows\Logs folder
 
Local disk C kwa kawaida inabeba location nyingi, mfano ukiweka kitu kwenye desktop automatically C itahesabu, same ukiweka vitu kwenye documents, videos etc bila kusahau ndio partition iliyobeba window na kila program mpya utayoweka inahesabu hapo, Kama issue ni hiyo Basi suluhisho ni kupunguza mafaili disk C mpaka iwe 10% free.
 
Hizo zote chaka mkuu, haoni virus, na marware na hawatoki kwa antivirus. Tafuta program inaitwa hiren boot cd. Ndo mwisho wa fitina. Unarun then unadelete tu mchezo umeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu niliomba Msaada wa Hili Tatizo lakini sikupata Msaada wengi wamejikita kwenye Ukisiaji na Ku google Kitu ambacho Mimi hakinishindi

Naomba Mwenye Njia sahihi ya Kurekebisha hili Tatizo anisaidie kila nikifuta Vitu inajijaza Yenyewe nahitaji Techniques Mpya za Kudhibiti Hii Kadhia
View attachment 554749
Huyo ni virus. Boot toka kwenye bootable CD au Flash Disk then clean virus kwenye hard drive C then tatizo litakuwa limeisha. Kama huna bootable disk then download Hiren bootable
 
Uzi mtamu huu hata mimi disk C inaonesha red color lakn imeandika space iliyobaki kwenye hyo disk ni 2.5GB. Mafile yote yaliyokua kwenye window nimeyatoa na program zisizo na umuhimu nimetoa. Lakin hyo red color haitoki. Nisaidieni wadau.
 
Back
Top Bottom