numis
Senior Member
- May 25, 2017
- 176
- 188
Habari zenu wana JF,
Unapokuwa na mpenzi wako au rafiki, ndugu wa karibu akiwa ananuka sana kinywa (mdomo), ni jinsi gani ninaweza kumwambia juu ya tatizo lake ili kuweza kutatua tatizo?
Nina girlfriend wangu ananuka kinywa sana ila nashindwa kumuambia. Naomba nisaidieni ninashindwa namna ya kufikisha ujumbe. Ninampenda, naogopa kumuumiza.
Natanguliza shukrani