Tatizo la kinywa kutoa harufu mbaya kwa mtoto

Melanny

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
1,247
2,205
Habari jf doctors

Nina mtoto wangu ana mwaka na miezi 10.

Kinywa chake kinatoa harufu mbaya,najitahidi mno kumfanyia usafi wa kinywa lakini tatizo linakuwa. Bado lipo.

Najisikia vibaya pale wenzake wanapo mwambia mdomo wako unanuka.Naumia kweli.

Nishaurini nifanyaje jamani.

Na hospital ipi ni nzuri ya kinywa.
 
Kitaalam hiyo inaitwa halitosis.
Mtoto wa miez 10 bado mdogo maana ndo almost anaanza kutembea, na hata meno sidhan kama anayo mengi. Au ulitaka sema ana miaka 10?
Anyway kama ni wa miez 10, mpeleke kwa paediatrician amchunguze.
Pole
 
Habari jf doctors

Nina mtoto wangu ana mwaka na miezi 10.

Kinywa chake kinatoa harufu mbaya,najitahidi mno kumfanyia usafi wa kinywa lakini tatizo linakuwa. Bado lipo.

Najisikia vibaya pale wenzake wanapo mwambia mdomo wako unanuka.Naumia kweli.

Nishaurini nifanyaje jamani.

Na hospital ipi ni nzuri ya kinywa.

Kamuangalie kama hana mafindofindo ya tonsils hakoromi usiku?
 
Back
Top Bottom