Habari zenu wakuu,tatizo ni hii pc yangu nilikuwa natumia windows 7 ultimate nikatokea kuipenda windows 8 so nikajaribu kutupia windows 8 lakini hii windows ikawa inasumbua mara mwanga hafifu mara sijui nini nikarudi zangu 7,sasa jana nikaamua kujaribu tena kuinstal windows 8 ilikaa ikatulia japo nilipojaribu kuinstal bluetooth application na baazi ya vitu vilikataa nikaona sio tatizo nikaendelea kuitumia hivyo hivyo sasa leo nimepatwa na mshituko baada ya kuwasha pc ina boot kama kawaida na inafika sehemu ya kuingiza password nikishaingiza napiga enter ina load kama kawaida then inaleta tu black screen na cursor basi,naombeni msaada wenu jamani nifanye nini na image files za windows zote zipo humo na laptop ndio imegoma kuwaka so itakuwa ngumu kupiga windows nyingine na huku niliko hakuna mwenye cd za windows, kwa kweli najuta kutumia windows 8 kwani kuna mtu aliniambia mapema kuwa huwa inazingua coz haitakagi disturbance,naombeni tu msaada nifanye nini ili iwake tu jamani,najuta na sirudii tena kutumia windows 8 nimekomaaaaaaaaaaa.
N.b:specifications za latop ni;2.7 duo processor,2gb ram na hdd ni 160gb.asanteni.