Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
simu yangu imeniandikia NO COMMAND..imemuweka yule robbot wa android.
nimejaribu kuirestore from sdcard imeshindikana coz sikuwa na backup yyte kwenye sdcard.
msaada nifanyeje iweze kuwaka bd ni mpya kabisa...