cyma
Senior Member
- Mar 25, 2013
- 136
- 210
Hope mko poa wadau,
Naomba msaada kwa anaejua hili tatizo kwenye simu yangu ya Android,Infinix Hot S3. ni kwamba nikiwasha Hotspot ili niweze kushare internet kwenye computer yangu au hata device nyingne haikubali . kwenye computer inaandika inaonesha connected lakin No internet . kwenye cm natumia internet kama kawaida .
nimejaribu ku update androind inanambia iko up-to-date.
kwa yyte mwenye kujua tatizo tafadhal msaada. nashindwa kudownload movie kwenye PC.
Sent using MyPhone