Sijakuelewa akiamungu
hahaha!! mmenifurahisha sana. hapo anawalenga watakwimu, na wachumi. ndiyo mambo yao hayo, kucheza-cheza na data!Hata sijui unazungumzia nini!
hahaha!! mmenifurahisha sana. hapo anawalenga watakwimu, na wachumi. ndiyo mambo yao hayo, kucheza-cheza na data!
Okay wasubiri watakuja.
Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)

Nakushauri google "Hassain academy" utakuta video ya huyo mhindi...ni mzuri sana na anaelekeza vizuri sana kupitia video zake.Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)