Msaada: Tatizo katika Samsung Grand Prime

Mmh lakin nilitembelea link 1 zna be unlocked na furious gold

Ukifuata Online Unaweza Kuliwa Pesa Yako Bure Kuna Vifaa Mafundi Tunakuwa navyo Ndio Unatumia So Kuna Baadhi Ya Result Ikitokea Unajua Kabisa Hii kwanini Imekuwa Hivi
Nitumie Imei YAke Hapa Nione
 
cjawahi kukutana na hyo cmu kwenye kazi zangu kwahyo cwezi coment km inawezekana au bado... je wew ni fundi au mtumiaji wa kawaida mkuu?, na kama ni fundi hebu jaribu kutumia flash box yoyote yenye uwezo wa kutoa simlock kwa mtk chipset then uone km itatoka au vp...
 
Acha kupotosha watu hapa wewe unaongelea hizo mtk cpu ama spd cpu ambozo unaweza temper na imei zake siyo kwenye samsungu ambazo zinatumia certificates Kwanza unachofanya ni kosa kisheria
 
Acha kupotosha watu hapa wewe unongelea hizo mtk cpu ama spd cpu ambozo unaweza temper na imei zake siyo kwenye samsungu ambazo zinatumia certificates Kwanza unachofanya ni kosa kisheria

nani anapotosha?
We jamaa haujielewi nini?
Kosa Gani Kisheriaaaaa?
Sheria YA Mwaka gani na Nina Kosa ganiii?
Inamaaana kuiflash simu ni kosa kisheria ama kubadilisha kifaa kilichokufa kinachotumia nertwork?
Wewe Wawapi kwanzaaaaa?
Afu siku nyingine usirudie kabisa kunireply umenichefua kuropoka kuwa kosa afu hata hausemi kosa gani.
JIheshimu Brooo
 
Nenda TCRA watakupa maelekezo ama tembelea hapa:Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Hata huko kwingine siyo Tanzania tu ni kosa kisheria kubadili imei (But imei do corrupt there is an option to rebuild imei) or imei repair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…