Shida imeanza lini? Kuna customization yeyote umefanya upande wa network... tuanzie hapo kwanzaHabari za muda huu Wanajukwaa..
Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered".....
Naomba msaada wa namna wa kutatua hili tatizo.
Natanguliza shukrani.
Mzee!
mkuu kwanza check imei number kwa kupiga *#06# na hapo utakutana na either imei number ambazo ni original yaani zinazofanana na zile zilizopo nyuma ya cmu yako ukitoa betri au ukutane na imei zilizo corrupt ambazo zinaanza na 00 na 49 kati ya hzo namba au ukute NULL.. halafu fungua settings>about phone>baseband na kama baseband ni unknown hyo ni tatizo. hebu angalia hayo halafu toa matokeo tuelekezane namna ya kufix

Nunua certificate za model hiyo....hyo simu IMEI zake zmefanana na za mtu mwengine so imefungwa Na TCRAHabari za muda huu Wanajukwaa..
Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered".....
Naomba msaada wa namna wa kutatua hili tatizo.
Natanguliza shukrani.
Mzee!
cert files unanunua online, bt kuepusha usumbufu nakushauri peleka tu kwa fundi akufanyie hyo kazi kama wew cyo fundi coz baada ya kupokea hyo certificate unahtaji samsung flash box ili uweze kuandika hyo cert kwenye cmu yako.. i.e z3x,bsg,octopusNawezaje kununua hiyo Certificate??
Hapo tatizo lipo kwenye laini.Habari za muda huu Wanajukwaa..
Nina simu moja Sumsung Grand Prime tatizo lake ni kwamba, imewekwa laini lkn inaandika "Emergency Call" na ukijarbu kupiga inasema "Nertwok not registered".....
Naomba msaada wa namna wa kutatua hili tatizo.
Natanguliza shukrani.
Mzee!
naamini hyo airtel c jina la hyo cmu kwahyo hebu angalia jina na model ya hyo cmu nyuma baada ya kutoa battery..Kaka naomba unisaidie cm hii inalock from Zambia
suala la emergency kwenye samsung ni kawaida sana baada ya efs partition ku corrupt kwahyo naamini c shida ya line bt ili kujiridhisha hebu nwenye hyo grand aweje sim card nyingine kwa hyo cmu au hyo sim card aiweke kwenye cmh nyingineHapo tatizo lipo kwenye laini.
Mimi mwenyewe nina laini yangu iliyo blokiwa nikiiweka inasema hvyohvyo..
Hapo tatizo halipo kwenye simu
Model yake ni airtel AO2naamini hyo airtel c jina la hyo cmu kwahyo hebu angalia jina na model ya hyo cmu nyuma baada ya kutoa battery..
Naomba nisaidieModel yake ni airtel AO2
Model yake ni airtel AO2