msaada; Tanzania job link ni nani

msaada; Tanzania job link ni nani

Pdraze

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
615
Reaction score
324
wakuu kuna jamaa yangu kapigiwa simu na hao jamaa wakidai watampa kazi ila atume laki moja kwenye namba ya simu alafu watamtumia scanned receipts na kumfanyia interview..sasa wanajamvi huu si utapeli au kama mtu anazo taarifa zao atupe tusije tukaendelea kunyonywa na mabepari matapeli.
 
dont try to do that mkuu. Ataibiwa. Hakuna interview inayolipiwa. Hiyo mpya. Wezi wakubwa hao.
 
Ndugu tel ur friend asijaribu kutuma hata mia anaibiwa na kama hatak mwambie atume halafu utaona kilio chake
 
asije akathubutu kufanya hivyo, kwani tuliolizwa tunaujua uchungu wake, nammi niliwah kutuma hela brac kipindi fulani walitoa nafasi za kazi kumbe ni matapeli, so mwambie wala asihangaike interview haina malipo yeyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom