Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,251
sikuizi wanarahisisha maisha hawafanyi kazi wanamendea mterezomwambie afanye kazi, aache kuwaza ngono na kumtamani mama yake! Tena ikibidi aende mbali na huyo ***** anayemtamani!
apunguze kuangalia pornhii inamaana gani.
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.
Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.
Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochote.
Kuna ndoto kutoka kwa MunguHabarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.
Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.
Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochote.
Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.
Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.
Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochote.
Acha ujinga mkuu, embu andika maana ya ndoto.Kaka yako anamtamani mama yake mdogo
Dah! Mimi mwenyewe hapa nimetoka kuota muda si mrefu eti nimemchumbia Barbara wa simba!Dah! Hizi ndoto za siku hizi yaani ni majanga juu ya majanga.
Hasa za MILFapunguze kuangalia porn
Acha ujinga mkuu, embu andika maana ya ndoto.
Huwezi tu kifasiri ndoto kuna vitu lzm uangalie!Habarini za leo marafiki.
Kuna ndoto hapa nimesimuliwa na kaka yangu wa damu kabisa asubuhi hii, nimeogopa kidogo.
Kaka yangu ameota anajiandaa kumwoa ndugu yetu, mama yetu mdogo, hii inamaana gani.
Naombeni watu wenye uzoefu na ndoto waandike chochotechochote
Mods naombeni katika huu uzi mtoe comment zisizo na maana.
Tupo seriously hapa kuna watu wanaandika ujinga, tafadhari watu kama hawa washughurikieni.
Ni bora tuwe na comment moja inayofundisha na kutolea ufafanuzi kuliko kuwa na comment nyingi zisizofaa.