Tegwa Investment
Member
- Nov 14, 2014
- 20
- 2
Ninatumia Sumsung galaxy S5 lakini nashindwa kuthibitisha kama ni copy au original.Siku moja nilifanya restarting simu ikafuta IMEI hivyo ikawa haina internet access je inasababishwa na nini?.
Msaada tafadhari
Msaada tafadhari