ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,685 Sep 27, 2014 #1 Ni IPAD gani kali means nzuriii sana kwa matumizi na mauzo chuonii kwa india ni sh ngapi au nchi gani inauzwa bei poa msaada tafadhari
Ni IPAD gani kali means nzuriii sana kwa matumizi na mauzo chuonii kwa india ni sh ngapi au nchi gani inauzwa bei poa msaada tafadhari
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Sep 27, 2014 #2 hakuna ipad nzuri kwa matumizi ya chuo, kama unaipenda apple nunua mac, kwa mauzo nunua ipad air
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,685 Sep 27, 2014 Thread starter #3 chief-mkwawa said: hakuna ipad nzuri kwa matumizi ya chuo, kama unaipenda apple nunua mac, kwa mauzo nunua ipad air Click to expand... Yaaaa hata ya mauzoo poaa
chief-mkwawa said: hakuna ipad nzuri kwa matumizi ya chuo, kama unaipenda apple nunua mac, kwa mauzo nunua ipad air Click to expand... Yaaaa hata ya mauzoo poaa