brighton christopher
Member
- Nov 22, 2014
- 72
- 28
Naomba kwa anaefahamu dawa ya kuua wadudu wanaopekecha kenchi mbao jamaa yangu kapaua nyumba yake usiku kuna wadudu wanapekecha mbao atumie dawa gani kuwadhibiti?.asanteni
mi najiulizaga mwenzenu nakosa jibu,,Naomba kwa anaefahamu dawa ya kuua wadudu wanaopekecha kenchi mbao jamaa yangu kapaua nyumba yake usiku kuna wadudu wanapekecha mbao atumie dawa gani kuwadhibiti?.asanteni
Changanya na dudu killerOil kapaka lakini bado wanasumbua