Msaada Tafadhari

Naomba kwa anaefahamu dawa ya kuua wadudu wanaopekecha kenchi mbao jamaa yangu kapaua nyumba yake usiku kuna wadudu wanapekecha mbao atumie dawa gani kuwadhibiti?.asanteni
mi najiulizaga mwenzenu nakosa jibu,,
Ivi Mungu wetu aliumba hao wadudu, pamoja na wale mchwa, wana faida gani aswa,, kwa upande wa Dawa changanya dudu killer na oil chafu upake
 
Back
Top Bottom