MSAADA TAFADHARI

MSAADA TAFADHARI

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,049
Reaction score
4,301
Habarini za jioni ndugu na wanajamvi wenzangu, poleni na mihangaiko ya siku nzima. Natumaini salamu zangu mmezipokea.
Nimekuja kuomba msaada wa ushauri wa kitaaluma kwa anayefahamu kuhusu suala lifuatalo. Nina mdogo wangu amemaliza form 6 mwaka huu, namshukuru Mungu amefaulu vzuri na kapata Division One ya Point 9 kwenye combination ya HKL.
1.Hivyo basi naomba kupata msaada, kama kuna anafahamu ni kozi zipi za sanaa zinazopewa mkopo ??
2. Na alama zake hizo, kozi gani nzuri kwajili yake mdogo wetu.
Natanguliza shukrani wakuu [emoji4][emoji4]
 
Akasone elimu Maalumu UDOM bachelor of education in special needs au in Guidance and counseling au in early childhood education hizi ZOTE anapata mkopo 100 Kwa sababu ni degree program Special Kwa Education.
 
Samahani sana wakuu nilikuwa nipo nimeushau huu uzi baada ya dogo kuwa amepata ameomba mwenyewe. Nilimshauri ila kaomba azipendazo
pale fani yako inapokua kula vitumbua unashindwa hata kutoa ushauri kwa mdogo wako haaaah!!!
 
Back
Top Bottom