Trubetzkoy
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 380
- 747
Habari ndugu wana jukwaa;
Naomba kujua website ya wizara ya elimu.
Naomba mnaojua mtupia hapa tafadhari.
Naomba kujua website ya wizara ya elimu.
Naomba mnaojua mtupia hapa tafadhari.
Duh! Asante sana ndugu ngoja na mimi nijaribu kama haitanizungushia sket au chupi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa utatupa mrejesho wa rangi ya Chupi mkuuDuh! Asante sana ndugu ngoja na mimi nijaribu kama haitanizungushia sket au chupi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa utatupa mrejesho wa rangi ya Chupi mkuu