Msaada tafadhari wa hili swali

Msaada tafadhari wa hili swali

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Ni msanii gani kibongo bongo anaongoza kwa kujiwasha yaani ukimshirikisha kwenye nyimbo yako anaweza kukuponda hata akikushirikisha pia anaweza kukuponda ana jisufu ni nani na nyimbo kama tano hivi alizo fanya hivyoo
 
Na wewe unachukulia serious MTU kudisiwa kwenye wimbo wake?usichukulie serious wanajua wanachofanya
 
hii nayo ni mada ya MMU, au nimekosea chumba jamani, nimeingia cha.......
 
Sasa ukishayajua hayo,yatakusaidia nin labda?yani wabongo kwa kufuatlia mambo ya kijinga hatujambo.
 
Back
Top Bottom