Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 564
- 868
Habari wakuu msaada una hitajika.
Tafadharini Kwa mwandiko mbaya.
Niliomba kazi Kwa kutumia njia ya mtandao utumishi Secretariate ya Ajira nikabahatika kuona jina langu nimeitwa kwenye interview
Ila katika akanti yangu sijatumiwa namba ya interview. Tatizo nini?
Je, naweza pata namba nikienda eneo la interview inapofanyika.