Msaada tafadhari kuhusu hizi moderm

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
wana jamvi naomba mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuchakachua moderm hizi
1.(voda)ZTE model: k3565-z
2.(airtel)HUAWEI model: E173
Natanguliza shukrani kwenu.
 
msada naweza kupa kwenye hiyo moderm ya voda hapo juu.

wala huna haja ya kuchakachua kama unatumia windows seven
chakufanya instal software ya voda ilipo ndani ya moderm iksha instal chomoa moderm weka line yako unayo taka tumia.ichomeke kwenye mashine yako subiri isomwe na mashine. software ya voda inaweza ikafunguka pia na kukuambia invalid sim au no sim card ditected .we minimize hiyo software ya voda afu angalia au subiri hadi hapo kwenye bar yako hapo chini utakapo ona alama ya network kama ya simu itakuwa na ki x chekundu ,moderm ikisha soma vizuri ita badilika na kuweka kinyota cha njano .Bonyeza hiyo alama ya network itafunguka kijibox flani utaona jina la line uliyo weka ndani ya moderm bonyeza hilo jina utaona neno connect bonyeza connect .ita connect kama kibonyeza connect afu kiboxi kingine kikatikea kina dai access point weka neno Internet afu bonyeza next/ok itajiunga

hiyo moderm nyingine sija wai tumi wala sijui inafananaje
 
shukrani kwako mkuu...ngoja nijaribu alafu nitakujuza.
 
mkuu nimejaribu inakataa windows ninayotumia ni windows 7 ultmate bit 32 ,sijui tatizo litakuwa wapi?
 
mkuu nimejaribu inakataa windows ninayotumia ni windows 7 ultmate bit 32 ,sijui tatizo litakuwa wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom