Unataka chuo gani mpendwa...wazima wapendwa?
anayeweza kunisaidia kupata chuo cha ualim taratibu zikoje?
Unataka chuo gani mpendwa...
unaweza kugoogle chuo unachokitaka ukaangalia vigezo vya kujiunga
na jinsi upya kuapply, all the best
Mmmh sijawahi sikia kigezo cha umri mi najua kigezo ni ufaulu tuasante dia ni dogo mmoja namtafutia ngazi ya cheti nilikuwa napitia huku jukwaa la elim mdau mmoja akasema umri miaka 21 kuendelea kuna ukweli ktk hili?
wazima wapendwa?
anayeweza kunisaidia kupata chuo cha ualim taratibu zikoje?
Vyuo vipi vingi sana, kwa private kupata ni rahisi zaidi. Kwa serikali maombo yanapaswa kupelekwa pale wizarani pana box moja la barua za kuomba Ualimu. Advantage ya vyuo vya serikali Ada ni ndogo ilaidhani kwa sasa kama bado wanapokea ila nenda pale magogoni watakupa details vizuri. Private unapata hata leo maadamu kijana wako amefaulu. Ila kule Ada iko juu zaidi. Kazi kwako.
thanx sisera sina uzoefu na haya maswala naomba nitajie vyuo angalau viwili vitatu vya private ili nijue wapi pa kuanzia, na je ktk hivi vyuo vya private ajira ni moja kwa moja au inakuwaje? sorry kwa usumbufu.