msaada tafadhali

Lady.A

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
392
191
habari wapendwa,
swali langu ni kwamba katika viwanda hivi vya plastik kama vile simba, cello n.k, wanapokea oder ya mtu binafsi au wanatengeneza vya wao kuuza tu?
na kama wanapokea oder kutoka watu binafsi je ni kuanzia sh. ngapi wanaweza kupokea oder yako?
mwenye kuelewa tafadhal anisaidie.
natanguliza shukrani.
 
wanapokea ni kiasi cha kufika kiwandani kwao na kufanya nao mazungumzo,.mengine mengi utayajua huko huko
 
habari wapendwa,
swali langu ni kwamba katika viwanda hivi vya plastik kama vile simba, cello n.k, wanapokea oder ya mtu binafsi au wanatengeneza vya wao kuuza tu?
na kama wanapokea oder kutoka watu binafsi je ni kuanzia sh. ngapi wanaweza kupokea oder yako?
mwenye kuelewa tafadhal anisaidie.
natanguliza shukrani.

Kama pesa ipo unaweza kuoda ni wewe tu hilo nalijuwa
 
Lady.A ukitaka taarifa zaidi, zama kwa website yao tu! Utapata hata nafasi ya kuuliza maswali, na ikiwezekana mnaweza kufanya makubaliano mtandaoni tu! Dunia ni kiganja tu!
 
asante, mkuu nitaitafuta
 
Back
Top Bottom